sw_deu_text_reg/07/02.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 2 Na wakati Yahwe Mungu wenu atawapa ninyi ushindi juu yao pindi mnakutana nao katika vita, mtawashambulia, basi mnapaswa kuwateketeza kabisa. Hamtafanya agano nao, wala kuonyesha huruma kwao. \v 3 Wala hamtapanga ndoa zozote pamoja nao, hamtawatoa binti zenu kwa vijana wao, na hamtawachukua binti zao kwa vijana wenu.