sw_deu_text_reg/05/23.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 23 Ilipokaribia, pindi uliposikia sauti toka katikati mwa giza, wakati mlima unawaka moto, kuwa mlikuja karibu nami, wazee wako wote, na wakuu wa makibila yako. \v 24 Ulisema, Tazama, Yahwe Mungu wetu ametuonyesha utukufu wake na ukuu wake, na tumeisikia sauti yake toka katikati mwa moto, tumeona leo kwamba wakati Mungu azungumza na watu, wanaweza kuishi.