sw_deu_text_reg/05/15.txt

1 line
222 B
Plaintext

\v 15 Utakumbuka katika akili yako kwamba ulikua mtumwa katika nchi ya Misri, na Yahwe Mungu wako alikutoa kutoka huko kwa mkono wa uweza na mkono ulionyoshwa. Kwa hviyo Yahwe Mungu wako amekuamuru kuitunza siku ya Sabato.