sw_deu_text_reg/05/01.txt

1 line
316 B
Plaintext

\c 5 \v 1 Musa aliwaita Israeli yote na akasema nao, "Sikiliza, Israeli, kwa amri na sheria ambazo nitasema katika masikio yenu leo, muweze kujifunza na kuzishika. \v 2 Yahwe Mungu wetu alifanya agano nasi huko Horebu. \v 3 Yahwe hakufanya agano hili pamoja na mababu zetu, lakini na sisi, sisi wote tu hai hapa leo.