sw_deu_text_reg/04/30.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 30 Wakati mnakuwa katika dhiki, na wakati haya yote yatakuwa yamekuja kwenu, katika siku za baadae mtamrudia Yahwe Mungu wenu na kusikia sauti yake. \v 31 Kwa kuwa Yahwe Mungu wenu ni Mungu wa rehema; hatawaangusha wala kuwaangamiza ninyi, wala kusahau agano la baba zenu ambalo aliapa kwao.