sw_deu_text_reg/04/13.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 13 Alitangaza kwenu agano lake ambalo aliwaamuru ninyi kulifanya, amri kumi. Aliziandika kwenye vibao viwili vya mawe. \v 14 Yahwe aliniamuru mimi kwa wakati huo kuwafundisha sheria na amri, ili kwamba muweze kuzifanya katika nchi mnaovuka kwenda kuimiliki.