sw_deu_text_reg/04/03.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 3 Macho yako yamekwisha ona nini Yahwe alifanya kwa sababu ya Baal Peori, kwa kuwa watu wote waliomfuata Baali Peor,i Yahwe Mungu wenu amekwisha kuwaangamiza kutoka miongoni mwenu. \v 4 Lakini walioambatana na Yahwe Mungu wenu wako hai leo, kila moja wenu.