sw_deu_text_reg/03/26.txt

1 line
348 B
Plaintext

\v 26 Lakini Yahwe alikuwa amenikasirikia mimi kwa sababu yenu, hamkunisikiliza mimi. Yahwe alisema kwangu, "Hebu hii iwe ya kutosha kwako - usizungumze zaidi tena kwangu kuhusu jambo hili. \v 27 nenda juu ya kilele cha Pisgah na uinue macho yako magharibi, mashariki, kusini na mashariki; tazama kwa macho yako kwa kuwa hautaenda zaidi ya Yordani.