sw_deu_text_reg/03/15.txt

1 line
224 B
Plaintext

\v 15 Nilimpa Gileadi kwa Machir. \v 16 na Wareubeni na kwa Wagadi. nilitoa eneo kutoka kwa Gileadi kuelekea bonde la Arnon- katikati mwa bonde ni mpaka wa eneo- na kuelekea mto wa Jabbok, ambao umepakana na wazao wa Ammoni.