sw_deu_text_reg/03/08.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 8 Kwa wakati huo tulichukua nchi kutoka kwenye mkono wa wafalme wawili wa Amorites, waliokuwa ng'ambo ya pili ya Yordani, kutoka kwenye bonde la Arnoni kwenda mlima wa Hermoni, \v 9 (Mlima wa Hermoni, Wasidonia huita Sirioni, na Wamorites huita Seniri) \v 10 na miji yote ya tambarare, yote Gileadi, na yote Bashani kupita njia yote ya Salekah na Edrei, miji ya ufalme wa Ogi huko Bashani".