sw_deu_text_reg/02/13.txt

1 line
488 B
Plaintext

\v 13 "Sasa inuka na uende kwenye kijito cha Zeredi". Kwa hivyo tulienda kwenye kijito cha Zeredi. \v 14 Sasa tangu siku ambapo tulikuja kutoka Kadesh Barnea mpaka tukavuka kijito cha Zeredi, ilikuwa miaka thelathini na nane. Ilikuwa kwa wakati huo kizazi chote cha watu waliofaa kupigana walikuwa wamekwisha ondoka kwa watu, kama Yahwe alivyokuwa ameapa kwao. \v 15 Zaidi ya yote, mkono wa Yahwe ulikuwa kinyume na kizazi hicho ili kuweza kuwaangamiza kutoka kwa watu mpaka walipoondoka.