sw_deu_text_reg/02/01.txt

1 line
267 B
Plaintext

\c 2 \v 1 Kisha tuligeuka na kuanza safari kuelekea jangwani kwa njia ya Bahari ya Mianzi, kama Yahwe alivyosema nami, tulienda kuzunguka mlima wa Seir kwa siku nyingi. \v 2 Yahwe alizungumza nami, kusema, \v 3 Mmeuzunguka mlima huu kwa muda mrefu; geukeni kaskazini.