sw_deu_text_reg/01/45.txt

1 line
171 B
Plaintext

\v 45 Mlirudi na kulia mbele ya Yahwe; lakini Yahwe hakusikiliza sauti zenu, wala hakuwa makini kwenu. \v 46 Kwa hivyo mlibaki Kadeshi siku nyingi, siku zote mlibaki huko.