sw_deu_text_reg/01/34.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 34 Yahwe alisikia sauti ya maneno yenu na alikasirika; aliapa na kusema, \v 35 Hakika hakuna mmoja ya hawa watu wa kizazi hiki kiovu wataona nchi nzuri ambayo niliapa kuwapa babu zao, \v 36 kasoro Kalebu mwana wa Jephuneeh; yeye ataiona. nitampa nchi ambayo amekwisha kuikanyanga, na watoto wake, kwa sababu alimfuata Yahwe kwa ukamilifu.'