sw_deu_text_reg/01/32.txt

1 line
190 B
Plaintext

\v 32 Bado licha ya neno hili hakumwamini Yahwe Mungu wenu, \v 33 aliyeenda mbele yenu kwenye njia kutafuta eneo kwa ajili yenu kuweka kambi, ka tika moto usiku, na katika mawingu, mchana.