sw_deu_text_reg/01/29.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 29 Kisha nikasema nao, msitishwe wala msiwaogope. \v 30 Yahwe Mungu wenu, ambaye aenda mbele yenu, atawapigania, kama yote aliyofanya kwa ajili yenu huko Misri mbele ya macho yenu, \v 31 na pia katika jangwa, ambapo mmekwisha muona Yahwe Mungu wenu jinsi alivyowabeba, kama mtu abebavyo mtoto wake, kote mlikoenda mpaka kufika hapa.'