sw_deu_text_reg/01/17.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 17 Hamtaonyesha upendeleo kwa yeyote katika mgogoro, mtasikia madogo na makubwa pia. Hamtaogopa uso wa mtu, kwa kuwa hukumu ni ya Mungu. Migogoro iliyo migumu kwenu, mtaniletea mimi, na mimi nitaisikiliza. \v 18 Niliwaamuru kwa wakati huo mambo yote mtakayofanya.