sw_deu_text_reg/01/12.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 12 Lakini inawezekanaje mimi peke yangu kubeba shehena zako, mizigo yako, na migogoro yako? \v 13 Chukua wanaume wa hekima, wanaume wanaoelewa, na wanaume walio na sifa nzuri toka kila kabila, nitawafaya kuwa vichwa juu yenu. \v 14 Mlinijibu na kusema, 'Jambo ulilolisema ni zuri kwetu kufanya.'