\v 33 Mvinyo yao ni sumu ya nyoka na sumu katili ya nyoka. \v 34 Huu mpango haujafichwa kwangu kwa siri, na kufungwa kabisa katika hazina zangu?