\v 11 Lakini kama yeyote anamchukia jirani yake, uongo unamsubiri, uinuka dhidi yake, na majeraha ya kufa kwake ili kwamba anakufa, na kama basi anakimbia katika moja ya miji hii- \v 12 basi wazee wa mji wake wanapaswa kumtoa na kumrudisha toka huko, na kumkabidi katika mkono wa ndugu mhusika, ili kwamba amuue. \v 13 Jicho lako halipaswi kumuonea huruma; badala yake; unapaswa kuondoa hatia ya damu kutoka Israel, ili kwamba iwe vizuri kwako.