Mon Jul 25 2022 18:55:39 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-25 18:55:40 +03:00
parent f60aeaa560
commit bc72cc301c
3 changed files with 5 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Hautavisujudia au kuvitumikia, kwa kuwa Mimi, Yahwe Mungu wako, ni Mungu wa wivu, Nawaadhibu uovu wa mababu kwa kuleta adhabu juu ya watoto, kwa kizazi cha tatu na cha nne cha wale wanichukiao, \v 10 na kuonesha agano la uaminifu kwa maelfu, kwa wale wanaonipenda na kushika amri zangu.
\v 9 Hautavisujudia au kuvitumikia, kwa kuwa Mimi, Yahwe Mungu wako, ni Mungu wa wivu, Nawaadhibu uovu wa mababu kwa kuleta adhabu juu ya watoto, kwa kizazi cha tatu na cha nne cha wale wanichukiao, \v 10 na kuonyesha agano la uaminifu kwa maelfu, kwa wale wanaonipenda na kushika amri zangu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Zingantia siku ya Sabato kwa kuiweka takatifu, kama Yahwe Mungu wako alivyokuamuru. \v 13 Kwa siku sita utafanya kazi na fanya kazi zako zote, \v 14 lakini siku ya saba ni Sabato kwa Yahwe Mungu wako. Kwa siku hiyo hautafanya kazi yoyote- si wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mjakazi wako wa kiume, wala maksai wako, wala punda wako, wala mifugo wako, wala mgeni yeyote aliye katika malango yako. Hii ni kwamba mjakazi wako wa kiume na mjakazi wako wa kike wapate kumpuzika pamoja na wewe.
\v 12 Zingatia siku ya Sabato kwa kuiweka takatifu, kama Yahwe Mungu wako alivyokuamuru. \v 13 Kwa siku sita utafanya kazi na fanya kazi zako zote, \v 14 lakini siku ya saba ni Sabato kwa Yahwe Mungu wako. Kwa siku hiyo hautafanya kazi yoyote- si wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mjakazi wako wa kiume, wala maksai wako, wala punda wako, wala mifugo wako, wala mgeni yeyote aliye katika malango yako. Hii ni kwamba mjakazi wako wa kiume na mjakazi wako wa kike wapate kumpuzika pamoja na wewe.

View File

@ -121,6 +121,8 @@
"05-title",
"05-01",
"05-04",
"05-07"
"05-07",
"05-09",
"05-11"
]
}