Thu Aug 25 2022 19:45:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-25 19:45:10 +03:00
parent 6a195b52c6
commit 902651b1ed
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Na mtayavunja madhabahu yao c, mtaharibu kwa vipandepande nguzo zao za mawe, na kuchoma ncha za Asherahi, mtazikata sanaa za kuchongwa za miungu yao na kuangamiza jina lao nje ya eneo hilo. \v 4 Hamtamwabudu Yahwe Mungu wenu kama hivyo.
\v 3 Na mtayavunja madhabahu yao, mtaharibu kwa vipandevipande nguzo zao za mawe, na kuchoma ncha za Asherahi, mtazikata sanaa za kuchongwa za miungu yao na kuangamiza jina lao nje ya eneo hilo. \v 4 Hamtamwabudu Yahwe Mungu wenu kama hivyo.