Fri Nov 04 2022 15:46:55 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-04 15:46:56 +03:00
parent 03417794bf
commit 6db928c919
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Wakati mtakapouzingira mji kwa muda mrefu, huku mkipigana dhidi yake kuuteka, hampaswi kuharibu miti yake kwa kushika shoka dhidi yake. Kwa kuwa utaweza kula matunda yake, kwa hivyo usiukate. Kwa maana mti wa kondeni mtu ambaye atauzingira? \v 20 Ila miti ambao unaujua sio miti ya chakula, unaweza kuharibu na kuikata chini; utajenga maburuji dhidi ya mji unaofanya vita nawe, mpaka uanguke.
\v 19 Wakati mtakapouzingira mji kwa muda mrefu, huku mkipigana dhidi yake kuuteka, hampaswi kuharibu miti yake kwa kushika shoka dhidi yake. Kwa kuwa utaweza kula matunda yake, kwa hivyo usiukate. Kwa maana mti wa kondeni mtu ambaye atauzingira? \v 20 Ila miti ambayo unaijua sio miti ya chakula, unaweza kuharibu na kuikata chini; utajenga maburuji dhidi ya mji unaofanya vita nawe, mpaka uanguke.