Fri Dec 30 2022 12:27:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-30 12:27:17 +03:00
parent c41f09ac89
commit 6998336cd5
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Unapofanya kiapo kwa Yahwe Mungu wako, haupaswi kukawia kuikamilsha, kwa maana Yahwe Mungu wako hakika atadai kiapo hicho; itakuwa dhambi kako usipokamilisha. \v 22 Lakini iwapo utajizuia kutoa kiapo, haitakuwa dhambi kwako. \v 23 Kile ambacho kimetoka kinywani mwako unapaswa kukifuata na kukitekeleza; kulingana na kiapo ulichotamka kwa Yahwe Mungu wako, chochote ulichotamka kwa hiari kwa kinywa chako.
\v 21 Unapofanya kiapo kwa Yahwe Mungu wako, haupaswi kukawia kuikamilsha, kwa maana Yahwe Mungu wako hakika atadai kiapo hicho; itakuwa dhambi kwako usipokamilisha. \v 22 Lakini iwapo utajizuia kutoa kiapo, haitakuwa dhambi kwako. \v 23 Kile ambacho kimetoka kinywani mwako unapaswa kukifuata na kukitekeleza; kulingana na kiapo ulichotamka kwa Yahwe Mungu wako, chochote ulichotamka kwa hiari kwa kinywa chako.

View File

@ -365,6 +365,7 @@
"23-12",
"23-15",
"23-17",
"23-19"
"23-19",
"23-21"
]
}