From 53abc3b8f97fb2a6f55f09a2ba2ebe13fff9dd68 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Sat, 23 Jul 2022 10:29:18 +0300 Subject: [PATCH] Sat Jul 23 2022 10:29:17 GMT+0300 (East Africa Time) --- 02/13.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/02/13.txt b/02/13.txt index d109a19..30f2358 100644 --- a/02/13.txt +++ b/02/13.txt @@ -1 +1 @@ -\v 13 "Sasa inuka na uende kwenye kijito cha Zeredi". Kwa hiyo tulienda kwenye kijito cha Zeredi. \v 14 Sasa tangu siku ambapo tulikuja kutoka Kadesh Barnea mpaka tukavuka kijito cha Zeredi, ilikuwa miaka thelathini na nane. Ilikuwa kwa wakati huo kizazi chote cha watu waliofaa kupigana walikuwa wamekwisha ondoka kwa watu, kama Yahwe alivyokuwa ameapa kwao. \v 15 Zaidi ya yote, mkono wa Yahwe ulikuwa kinyume na kizazi hicho ili kuweza kuwaangamiza kutoka kwa watu mpaka walipoondoka. \ No newline at end of file +\v 13 "Sasa inuka na uende kwenye kijito cha Zeredi". Kwa hivyo tulienda kwenye kijito cha Zeredi. \v 14 Sasa tangu siku ambapo tulikuja kutoka Kadesh Barnea mpaka tukavuka kijito cha Zeredi, ilikuwa miaka thelathini na nane. Ilikuwa kwa wakati huo kizazi chote cha watu waliofaa kupigana walikuwa wamekwisha ondoka kwa watu, kama Yahwe alivyokuwa ameapa kwao. \v 15 Zaidi ya yote, mkono wa Yahwe ulikuwa kinyume na kizazi hicho ili kuweza kuwaangamiza kutoka kwa watu mpaka walipoondoka. \ No newline at end of file