From 5129ab9bc3e94563dff679bd39d617a6c1d19447 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Fri, 30 Dec 2022 14:11:06 +0300 Subject: [PATCH] Fri Dec 30 2022 14:11:05 GMT+0300 (East Africa Time) --- 25/17.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/25/17.txt b/25/17.txt index bec78d3..d5c9264 100644 --- a/25/17.txt +++ b/25/17.txt @@ -1 +1 @@ -\v 17 Kumbuka ni jambo gani Amaleki alichofanya kwako barabarani ulipokuwa ukitoka Misri, \v 18 jinsi alivyokutana na wewe barabarani na kuwashambulia kati yenu kwa nyuma, wale waliokuwa wamelegea nyuma, mlipokuwa dhaifu na kuchoka, hakumheshimu Mungu. \v 19 Kwa hiyo, Yahwe Mungu wako atakapowapa pumziko kutoka kwa maadui zako kila sehemu, katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anawapatia kumiliki kama urithi, hautakiwi kusahau kuwa unapaswa kufuta kumbukumbu ya Waamaleki chini ya mbingu. \ No newline at end of file +\v 17 Kumbuka ni jambo gani Amaleki alilofanya kwako barabarani ulipokuwa ukitoka Misri, \v 18 jinsi alivyokutana na wewe barabarani na kuwashambulia kati yenu kwa nyuma, wale waliokuwa wamelegea nyuma, mlipokuwa dhaifu na kuchoka, hakumheshimu Mungu. \v 19 Kwa hiyo, Yahwe Mungu wako atakapowapa pumziko kutoka kwa maadui zako kila sehemu, katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anawapatia kumiliki kama urithi, hautakiwi kusahau kuwa unapaswa kufuta kumbukumbu ya Waamaleki chini ya mbingu. \ No newline at end of file