Mon Jan 02 2023 12:12:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-02 12:12:59 +03:00
parent 3e9621fc8c
commit 48de0d4ea9
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Musa na wazee wa Israeli waliwaamuru watu na kusema, “Zishikeni amri zote ninazowaamuru leo. \v 2 Katika siku mtakapopita juu ya Yordani kwenye nchi ambayo Yahwe Mungu wako anawapatia, mnapaswa kutengeneza mawe kiasi makubwa na kuyachapa kwa lipu. \v 3 Mnatakiwa kuyaandika juu yake maneno yote ya sheria hii pale mtakapovuka; ili muweze kwenda katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anawapatia, nchi inayotiririka kwa maziwa na asali, kama Yahwe, Mungu wa mababu zenu, alivyowaahidi.
\c 27 \v 1 Musa na wazee wa Israeli waliwaamuru watu na kusema, “Zishikeni amri zote ninazowaamuru leo. \v 2 Katika siku mtakapopita juu ya Yordani kwenye nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapatia, mnapaswa kutengeneza mawe kiasi makubwa na kuyachapa kwa lipu. \v 3 Mnatakiwa kuyaandika juu yake maneno yote ya sheria hii pale mtakapovuka; ili muweze kwenda katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anawapatia, nchi inayotiririka kwa maziwa na asali, kama Yahwe, Mungu wa mababu zenu, alivyowaahidi.

View File

@ -1 +1 @@
Sura
Sura 27