sw_deu_text_reg/03/28.txt

1 line
214 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 28 Badala yake, mwelekeze Yoshua na kumtia moyo na kumuimarisha, kwa kuwa ataenda zaidi mbele ya watu, na atawasababisha kuirithi nchi ambayo mtaiona. \v 29 Kwa hiyo tulibaki katika bonde mkabala mwa Beth Peori.