sw_dan_text_reg/06/12.txt

1 line
401 B
Plaintext

\v 12 Ndipo walipomwendea mfalme na kuongea naye kuhusiana na amri yake: "Je haukuweka amri kwamba mtu yeyote atayefanya maombi kwa muungu mwingine au kwa binadamu ndani ya siku thelathini zijazo, isipokuwa kwako wewe, mfalme, lazima mtu huyo atupwe katika tundu la simba? Mfalme akajibu, "Jambo hili ni la hakika, kama ilivyoelekezwa katika sheria za Wamedi na Waajemi; ambazo haziwezi kubatilishwa."