sw_dan_text_reg/10/10.txt

1 line
308 B
Plaintext

\v 10 Mkono ulinigusa, na ulinifanya nitetemeke katika magoti yangu na viganja vya mikono yangu. \v 11 Malaika aliniambia, "Danieli, mtu aliyethaminiwa sana, yafahamu maneno ninayokwambia wewe. Simama wima, kwa kuwa nimetumwa kwako." Na alipokuwa amemaliza kuniambia ujumbe huu, nilisimama nikiwa natetemeka.