\v 12 Ana heri mtu yule anayengojea mpaka mwisho wa siku 1, 335. \v 13 Unapaswa uondoke uende njia yako hata mwisho, na kisha utapumzika. Utainuka katika sehemu uliyopewa, mwishoni mwa siku."