sw_dan_text_reg/10/18.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 18 Tena yule mwenye mwonekano wa mtu alinigusa na kunitia nguvu. \v 19 Alisema, "Usiogope, mtu ulithaminiwa sana. Amani na iwe kwako! Uwe mwenye nguvu, uwe na nguvu!" Na alipokuwa anaongea na mimi, nilipata nguvu. Nilimwambia, "Bwana wangu na aseme, kwa kuwa umenitia nguvu."