sw_dan_text_reg/08/13.txt

1 line
365 B
Plaintext

\v 13 Kisha nilimsikia mtakatifu mmoja akiongea na mtakatifu mwingine akamjibu, " Mambo haya yatadumu kwa muda gani, maono haya ya sadaka ya kuteketezwa, dhambi ile iletayo uharibifu, ukabidhiajia wa sehemu takatifu, na jeshi la mbinguni kukanyagwa? \v 14 Aliniambia, " Itadumu kwa jioni na asubuhi zipatazo 2, 300. Baada ya hapo, mahali patakatifu patawekwa sawa."