sw_dan_text_reg/11/42.txt

1 line
233 B
Plaintext

\v 42 Naye ataunyosha mkono katika nchi; nchi ya Misri haitaokolewa. \v 43 Atakuwa na mamlaka juu ya hazina za dhahabu na za fedha, na juu ya utajiri wote wa Misri; watu wa Libya na Ethiopia watakuwa chini katika nyayo za miguu yake.