2 lines
465 B
Plaintext
2 lines
465 B
Plaintext
\v 24 Nguvu zake zitakuwa kuu--lakini si kwa nguvu zake mwenyewe. Atakuwa wa kustaajabisha kwa kile atakachokuwa anakiharibu; atatenda na kufanikiwa. Atawaangamiza watu wenye nguvu na watu watakatifu. \v 25 Ataufanya udanganyifu usitawi chini ya mkono wake kwasababu ya ujanja wake. atakuwa mashuhuri kwa akili zake
|
|
mwenyewe. Atawaangamiza watu wengi bila kutegemea. Atainuka pia dhidi ya Mkuu wa wafalme, na atavunjwa, lakini si kwa mkono wowote wa kibinadamu. |