sw_dan_text_reg/08/18.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 18 Alipoongea na mimi, nilipata usiingizi mzito nikiwa nimelala kifudifudi. Kisha alinishika na kunisimamisha. \v 19 Akaniambia, "Tazama, nitakuonyesha kile kitachotokea baadaye katika kipindi cha ghadhabu, kwasababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho uliowekwa.