sw_dan_text_reg/06/08.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 8 Sasa mfalme, litoe agizo na utie saini nyaraka ili kwamba isije ikabadilika, kama ilivyoelekezwa katika sheria za Wamedi na Waajemi, hivyo haiweze ikabatilishwa. \v 9 Basi, mfalme Dario alitia saini nyaraka kwa kuifanya amri kuwa zuio.