sw_dan_text_reg/02/31.txt

1 line
461 B
Plaintext

\v 31 Mfalme, uliangalia juu na ukaona sanamu kubwa. Sanamu hii ambayo ilikuwa yenye nguvu na yenye kung'aa, ilisimama mbele yako. Mng'ao wake ulikuwa unatisha. \v 32 Kichwa cha sanamu kilikuwa kimetengenezwa kwa dhahabu safi. Matiti yake na mikono ilikuwa ya fedha. Sehemu ya katikati na mapaja yake yalikuwa yametengenezwa kwa shaba, \v 33 na miguu yake ilikuwa imetengenezwa kwa chuma. Miguu yake sehemu lilikuwa imetengenezwa kwa chuma na kwa sehemu udongo.