sw_dan_text_reg/02/21.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 21 Anabadili wakati na majira; anaondoa wafalme na kuweka wafalme katika viti vyao vya enzi. Anawapa hekima wenye hekima na ufahamu kwa wenye weledi. \v 22 Hufunua vitu vya ndani na vilivyofichika kwa sababu anajua kile kilicho gizani, na kwamba mwanga uishi pamoja naye.