sw_dan_text_reg/02/07.txt

1 line
515 B
Plaintext

\v 7 Wakamjibu tena na kusema, "Mfalme na atuambie, watumishi wake, ndoto nasi tutakwambia maana yake." \v 8 Mfalme akawajibu, " Ninajua kwa hakika mnahitaji muda zaidi kwasababu mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili. \v 9 Lakini kama hamtaweza kuniambia ndoto, kuna sentensi moja tu kwa ajili yenu. Mmeamua kuandaa uongo na maneno ya udanganyifu ambayo mmekubaliana kwa pamoja kuniambia mpaka pale nitakapobadili akili zangu. Hivyo basi, niambieni ndoto, na ndipo nitajua kuwa mnaweza kutoa kuitafsiri."