sw_dan_text_reg/02/03.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 3 Mfalme akawambia, "Nilikuwa na ndoto, na akili yangu ina wasiwasi kutaka kujua ndoto hiyo maana yake nini." \v 4 Kisha watu wenye hekima wakamwambia mfalme kwa Kiaramaiki, "Mfalme, uishi milele! Twambie sisi ndoto, watumishi wako, nasi tutafunua tafsiri yake."