sw_dan_text_reg/12/10.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 10 Watu wengi watakuwa wametakaswa, wameoshwa, na kusafishwa, lakini waovu wataenenda katika uovu. Hakuna mmoja wa waovu ataelewa, lakini hao wenye hekima wataelewa. \v 11 Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imesitishwa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa, kutakuwa na siku zipatazo 1, 290.