sw_dan_text_reg/12/08.txt

1 line
211 B
Plaintext

\v 8 Nilisikia, lakini sikuelewa. Basi nikamwuliza, "Bwana wangu, mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani?" \v 9 Alisema, "Nenda zako Danieli, kwa kuwa maneno yamefungwa na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho.