sw_dan_text_reg/12/05.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 5 Kisha mimi, Danieli, nilitazama, na kulikuwa na malaika wengine wawili wamesimama. Mmoja alisimama katika upande huu wa ukingo wa mto, na mwingine alisimama katika ukingo wa upande mwingine wa mto. \v 6 Mmoja wao alimwambia mtu aliyevaa nguo za kitani, yeye aliyekuwa juu ya mkondo wa mto, "Je itachukua muda gani mpaka mwisho wa matukio haya ya kushangaza?"