sw_dan_text_reg/11/44.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 44 Lakini taarifa kutoka mashariki na kaskazini zitamwogopesha, naye atatoka akiwa mwenye hasira nyingi ili kuwaharibu kabisa na kuwatenga wengine kando kwa ajli ya uharibifu. \v 45 Naye ataisimamisha hema ya makao yake ya kifalme kati ya bahari na milima ya uzuri wa utakatifu. Ataufikia mwisho wake, na hapatakuwa na msaidizi wa kumsadia.