sw_dan_text_reg/11/38.txt

1 line
358 B
Plaintext

\v 38 Atamheshimu mungu wa ngome badala ya hii. Ni muungu ambaye baba zake hawakujua kwamba ataheshimu kwa dhahabu na fedha, kwa mawe ya thamani na zawadi zenye kuthaminiwa. \v 39 Atazishambulia ngome imara sana kwa msaada wa mungu mgeni. Atampa heshima kubwa yeyote anayemkubali. Atawafanya kuwa watawala juu ya watu wengi, na ataigawanya nchi kama thawabu.