sw_dan_text_reg/11/23.txt

1 line
404 B
Plaintext

\v 23 Tangu kipindi kile ambacho makubaliano yalifanywa pamoja naye, ataenenda kwa hila; atakuwa mwenye nguvu akiwa na watu wachache tu. \v 24 Bila ya tahadhari ataingia katika sehemu tajiri sana za jimbo, na atafanya kile ambacho si baba yake wala baba wa baba yake alikifanya. Atagawanya mateka, nyara, na mali zake miongoni mwa wafuasi wake. Atapanga mpango wa kuiangusha ngome, lakini ni kwa muda tu.