sw_dan_text_reg/11/14.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 14 Katika siku hizo wengi watainuka kinyume na mfalmea wa Kusini. Wana wa wenye vurugu miongoni mwa watu wako watajiweka tayari wao wenyewe ili kuyatimiliza maono, lakini watajikwaa.