sw_dan_text_reg/11/01.txt

1 line
339 B
Plaintext

\c 11 \v 1 Katika mwaka wa kwanza wa Dario Mmedi, mimi mwenyewe nilikuja kumwezesha na kumlinda Mikaeli. \v 2 Na sasa nitakwambia ukweli. Wafalme watatu watainuka katika Uajemi, na mfalme wa nne atakuwa tajiri sana kuliko wengine wote. Na atakapokuwa amepapata nguvu kupitia utajiri wake, atamchochea kila mtu kinyume na ufalme wa Ugiriki.