sw_dan_text_reg/10/16.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 16 Yeye aliyekuwa kama wana wa mtu alinigusa midomo yangu na nifumbua kinywa changu na nilimwambia huyo aliyekuwa amesimam mbele yangu: "Bwana wangu, niko katika maumivu makali kwasababu ya maono; sina nguvu ndani yangu iliyosalia. \v 17 Mimi ni mtumishi wako. Je ninawezaje kuongea na Bwana wangu? Kwa kuwa sasa sina nguvu, na hakuna pumzi iliyosalia ndani yangu."